Sasa @officialzuchu Anaenda Ichafua Nigeria Na Hali Yake Ya Hewa.
Wasanii Wakubwa Nchini Humo wameendelea Kuhitaji Collabo Na First Lady wa WCB Zu chu chu ambae anakiwasha wasafi festival Mwaka Huu Kwa Ukubwa Uliotukuka!.
Mwanamuziki #asake toka #Nigeria amehitaji collabo Na Malkia wetu Wa Wasafi na amesikika katika Radio Moja Nchini Nigeria akisikika Kuomba Collabo Hio na Zuchu toka Tanzania.
Kuhusu ushirikiano kati ya Asake na Zuchu, ingekuwa jambo la kufurahisha sana kuwaona wakifanya kazi pamoja! Wawili hawa ni wasanii wenye vipaji vikubwa sana duniani , hivyo ushirikiano wao utaleta nguvu mpya katika muziki.
Wimbo wao utakuwa wa kipekee na utavutia mashabiki wa Nchi hizi Mbili , Natumai kwamba siku moja tutaweza kusikia ushirikiano kama huo kati yao na ntafurahia sana ????