Kocha wa timu ya Taifa ya Nigeria, Eric Chelle amedainkiwa ndoto yake ni kuhakikisha siku Moja anakuwa mwalimu wa kwanza kutokea barani Afrika, kuinoa klabu ya Real Madrid
🗣️”Ndoto yangu ni kuwa kocha wa kwanza kutoka Afrika kuinoa Real Madrid ya Hispania .”
-Eric Chelle, kocha wa timu ya Taifa ya Nigeria, ‘The Super Eagles’.
UNAHISI NDOTO YAKE INA NAFASI YA KUTIMIA KWENYE UHALISIA?!
Wananiitaga MJUMBE, na MJUMBE hauwawi 🗣️📢
.
Follow: @musamkwaju
.
#realmadrid #michezo #africa #nigeria


