Usiku wa jana @harmonize_tz amekubali yaishe baada ya kupost katika insta story yake video zake akijivinjari na @malaikacute55 maana yake yote hadharani sasa hivi
Sasa hapo nyuma wakati wawili hao walikuwa awaha mahusiano ya kimapenzi malaika alishawai kufunguka kuwa Konde sio hadhi yake na wahaendani
Hapo mwanzo kabla ya harmonize kudate na Malaika alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Poshqueen huku malaika alikuwa ni mke wa @ricardomomo
Andika methali inayowafaa wawili hawa kwa sasa!!!
cc: @udaku_kingdom
โ @teddie_.allan














